|
|
|
Kuhusu albamu yetu |
Albamu yetu ya Mtaa wa kwanza imegusa kila kona ya maisha
yetu. Albam hii ina nyimbo sita na sebene la nguvu lenye
vionjo vya utamaduni wa mtanzania.
Nyimbo zimetungwa na waimbaji na watunzi wa muda mrefu
na bendi yetu akiwemo Ally Choky Mzee wa farasi, Charles
Baba, Khalid Chokoraa, Salehe Kupaza na safari hii
mpiga solo wetu mahiri Shakashia naye hakuwa nyuma kwenye
utunzi.
Albam hii inazinduliwa
ijumaa hii pale Diomond Jubilee. Wote mnakaribishwa.
|
|
|
|
Janeth Isinika arudi tena Twanga Pepeta International
Kalala Jnr, Hadija Kimobitel, Msafiri Diouf nao waingia Twanga International wakitokea Twanga Chipolopolo
Rap Mpya ya Ronaldo ya Chokoraa yaanza kuwachengua washabiki wa Twanga Pepeta
|
|