1. GHARAMA ZA KUREKODI
( MCHANA )
(a). CHOIR - ALBUM
200,000/= KWA MASAA 8,
20,000/= KWA KILA SAA INAYOONGEZEKA.
(b). BAND - 90,000/=
SINGLE = KWA MASAA 3.
(c). TAARABU - 90,000/=
SINGLE = KWA MASAA 3.
(d). BONGO FLAVOR
- 70,000/= SINGLE = KWA MASAA 3.
(e). MCHIRIKU -
50,000/= SINGLE = KWA MASAA 2.
• KWA USIKU
INAONGEZEKA SH. 10,000/=
2. MASTER
CD - EMPTY 5,000/=
CROME - EMPTY 5,000/=
3. MATANGAZO
(a). TANGAZO SAUTI TUPU 100,000/=
(b). TANGAZO KUIMBA 200,000/=
4. MAZOEZI KWA WANAOTAKA
KUREKODI:
SHILINGI 10,000/= KWA SAA
5. TAARIFA ZA STUDIO
a) Mteja anatakiwa
alipe malipo ya awali wakati wa kufanya booking 60%.
b) Malipo yaliyobaki,
unakuja kuyalipa wakati unapokuja kurekodi na kabla hujaingia studio.
c) Utunzaji wa master
yako ni shilingi 500/= kwa siku.
d) Mteja atatakiwa
afike siku na saa alizopangiwa, taarifa ya kuahirisha kazi ni masaa
24, iwe umepangiwa au hujapangiwa siku ya kazi na utakatwa 50% endapo
utahitaji kurudishiwa pesa.
e) Tunaanza kurekodi
ala, halafu sauti.
f) Mteja amalizapo
kazi, haitaruhusiwa kulala studio kwa kazi za usiku.
g) Mteja anatakiwa
kuhakikisha muda wa kuanzia recording, kabla ya kuanza.
h) Mteja anatakiwa
kulipa usafiri kwa kazi za ghafla pamoja na usiku, shilingi 10,000/=.
i) Usiingie studio
kama huna kazi.
j) Risiti itatolewa
kwa malipo yoyote yatakayofanyika.
k) Kabla ya kuchukua
master hakikisha umeridhika na kazi yako, malalamiko ya baada ya masaa
48 kumaliza kazi hayatapokelewa.
l) Hakikisha unapoingia
studio, malipo yote yamefanyika na unazo risiti za kuonyesha malipo
hayo.